Asante kwa maelezo sahihi. ila haraka ipo wapi hapa , namm nilikua nahitaji kwa haraka ifu yu no waraa am mininnnnnn....!Barua ya maombi
Barua ya mtendaji
Kitambulisho cha taifa
Cheti cha kuzaliwa
Kujaza fomu online unalipia 20000 (ujaze taarifa sahihi) kisha unaprint kuna sehem mwanasheria inabidi akusainie agonge muhuri kwenye hiyo fom
Cheti /affidavit ya mzazi mmoja
Barua ya mwaliko au dhumuni la hiyo safari kama umealikwa
Vingine kama vya ziada vitahitajika watakuambia wenyewe
Uwe na laki na 30 kama ukikubaliwa nyaraka zako
Kila la kheri
Hata iwe emergency utahitaji kufanya hizo taratibu. Ukiweza kulainisha mkono wa mtu siku tatu tu..kila la kheri..Asante kwa maelezo sahihi. ila haraka ipo wapi hapa , namm nilikua nahitaji kwa haraka ifu yu no waraa am mininnnnnn....!
Asante kwa maelezo sahihi. ila haraka ipo wapi hapa , namm nilikua nahitaji kwa haraka ifu yu no waraa am mininnnnnn....!
Barua ya maombi
Barua ya mtendaji
Kitambulisho cha taifa
Cheti cha kuzaliwa
Kujaza fomu online unalipia 20000 (ujaze taarifa sahihi) kisha unaprint kuna sehem mwanasheria inabidi akusainie agonge muhuri kwenye hiyo fom
Cheti /affidavit ya mzazi mmoja
Barua ya mwaliko au dhumuni la hiyo safari kama umealikwa
Vingine kama vya ziada vitahitajika watakuambia wenyewe
Uwe na laki na 30 kama ukikubaliwa nyaraka zako
Kila la kheri
Mpaka hapo uko sawa ila akiishia hapo atasubiri passport yake mwaka mzima!!Barua ya maombi
Barua ya mtendaji
Kitambulisho cha taifa
Cheti cha kuzaliwa
Kujaza fomu online unalipia 20000 (ujaze taarifa sahihi) kisha unaprint kuna sehem mwanasheria inabidi akusainie agonge muhuri kwenye hiyo fom
Cheti /affidavit ya mzazi mmoja
Barua ya mwaliko au dhumuni la hiyo safari kama umealikwa
Vingine kama vya ziada vitahitajika watakuambia wenyewe
Uwe na laki na 30 kama ukikubaliwa nyaraka zako
Kila la kheri
Kitambulisho cha taifa lazima .... Kama huna kajiandikishe wakupe namba ya kitambulishoAhsante Mama Sabrina!
Nina kila ulichoorodhesha hapo isipokuwa Kitambulisho cha Taifa tu.
Je naweza kufanya mchakato nikiwa na kitambulisho cha kupiga kura ?
Asante, bahati mbaya ndugu zangu wote hawajakamata kitengo ata kimoja nchi hii..Uende popote palipo na ofisi za uhamiaji na hivyo vitu,wenyewe ndio uwaambie kuwa unataka haraka [emoji23][emoji23][emoji23] au kama mkubwa wao ni ndugu yako utaipata haraka
Finally, tupo page Moja. Unatakiwa ujichange kiasi gan ili route za office zao ziwe chache. (Au zisiwepo kabisa)Mpaka hapo uko sawa ila akiishia hapo atasubiri passport yake mwaka mzima!!
Baada ya kuwa na hiyo 130,000 atafute tena kama laki mbili au mbili na nusu kama ana nia ya kupata ndani ya siku nne au wiki moja!!
Akitafuta cha juu hatakuwa ma safari nyingiAsante, bahati mbaya ndugu zangu wote hawajakamata kitengo ata kimoja nchi hii.. Finally, tupo page Moja. Unatakiwa ujichange kiasi gan ili route za office zao ziwe chache. (Au zisiwepo kabisa)
Uo ndo ukweli chief nilishawahi kupiga route nyingi sana kurasini, kwa nyaraka cha ulazima ni ID yako ID ya mzazi na cheti cha kazaliwa. Izo barua za kata na SM ,na maviapo kibao kuchoshana tu. Mm Nishaviaanda vyote, kilichobaki Ni kutafuta 'contact' afanikishe. Kurudi tena sitaki.!Akitafuta cha juu hatakuwa ma safari nyingi
1. Siku atakayopeleka form na kupigwa picha + fingerprints.
2. Siku ya kuchukua
Sasa usitoe cha juu, utasubiri mpaka...
Weka laki mbili yako mfuko wa shati, ukifika usiwe siriaz mpaka watu wakuogope waone wewe ni usalama/takukuru. Kuwa mcheshi, ukifikia zamu yako mwite muhudumu mwambie nna shida nacho ndani ya wiki hii hii!! alafu mtoe buku kumi mwambie akanywe maji.Asante, bahati mbaya ndugu zangu wote hawajakamata kitengo ata kimoja nchi hii.. Finally, tupo page Moja. Unatakiwa ujichange kiasi gan ili route za office zao ziwe chache. (Au zisiwepo kabisa)
Mpaka hapo uko sawa ila akiishia hapo atasubiri passport yake mwaka mzima!!
Baada ya kuwa na hiyo 130,000 atafute tena kama laki mbili au mbili na nusu kama ana nia ya kupata ndani ya siku nne au wiki moja!!9
Ahsante Mama Sabrina!
Nina kila ulichoorodhesha hapo isipokuwa Kitambulisho cha Taifa tu.
Je naweza kufanya mchakato nikiwa na kitambulisho cha kupiga kura ?