Mpagani
Senior Member
- Oct 8, 2016
- 134
- 66
Wasalaam wakuu,
Kwa heshima na taadhima nawaomba msaada wakuu nimepata nafasi ya kwenda nje kuchukua kozi flani ss nimeambiwa niwe na passport ili wanitafutie viza sasa wakuu naomba mwenye uelewa juu ya hili napaswa kuwa na vitu gani ili niipate na gharama zake ni kiasi gani maana nahitaji haraka mno......Asanteni.....