samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
wadau kama kichwa kinavyo jieleza naomba msaada wa apps ya kuweza kupata internet radio.natumia simu Nokia N95 8gb.
Nipe email yako nikutumie... Ninayo app but haina redio ya kibongo hata moja
Weka hapa ubaoni tujisevie mkibwa
jaribu na hizi LCG Jukebox nilizitumia kwenye s60 v3 yangu zina internet radio nzuri,,wadau kama kichwa kinavyo jieleza naomba msaada wa apps ya kuweza kupata internet radio.natumia simu Nokia N95 8gb.
ingia kwenye nokia store ...kuna options nyingi kama applications,games n so on...fungua hizo application kuna free app inaitwa internet radio ..jipakulie hiyo uendelee kufaudu...radio za kibongo zinazopatikana ni bongo radio ,ebony fm,passion fm, pride fm(mtwara) na qiblatain...enjoy
jamani nipo porini hata sijati redio yoyote please wakina mkwawa help me!