Unatumia Mtandao gani na Modem gani?jinsi gani naweza kuongeza speed ya internet kwenye pc yangu.. kwa anayejua anisaidie
asante sana mkuu.Unatumia Mtandao gani na Modem gani?
Tafuta Modem yenye kasi kuanzia 14Mbps kisha chukua line ya Halotel au mtandao mwingine kama upo Town utafanya vizuri!
Ila pia Kama Upo Mkoa wenye 4G ya Tigo au Smile fika waulizie mahitaji utapata Speed unayotaka!
Kama upo DSM,everything is at your disposal ni wewe tu Vodacom 4G,Smile 4G,TTCL 4G,Tigo 4G,Smart 4G,Zantel 4G yaani ni ushindwe wewe tu
View attachment 403165