Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Mkuu pole kama bado mgonjwa hajapata nafuu atumié dawa hii naiamini na nishasaidia wengi ndgu wa karbu ,
1 robo kilo ya tangawizi mbchi
2 robo kilo ya karoti
3 robo kilo ya vitunguu saumu
4 majan 3 ..4ya aloe vela
5 malimao 5
Akate kate vipande vidogo vidogo bila kumenya chochote achemshe kwenye maj lta 5 akiwa amefunika kuchemsha syo kupika anaepua anachja anaweka kwa kigeleni anakua anatumia kikombe kutwa mara 3 akitaka anaweka na asal kidogo kupata radha akipenda ndan ya wiki 2..3 ataona mabadiliko makubwa mno hivyo anaweza kuwa anatia kla baada ya miezi 3 kupandisha cd4 zake chap
 
Nyie ndio mnatuletea ma ushauri kama yale ya korona kuwa ni biashara, Mwishowe wakafa watu kibao.

Yaani kweli umekaa serious unashauri watu waache ARV , ushahidi upo wazi jinsi gani matumizi ya ARV yanavyosaidia watu. Ukitaka kujua angalia kipindi ARV Haijaanza kutumika na sasa hvi ambapo inatumika. Zamani vifo na madhara yalikuwa mengi na makubwa ukilinganisha na sasa

Kwa upande wangu mimi nashauri watu waendelee kutumia ARVs na lishe bora na mazoezi. Bila kusahai supliments mbalimbali
 
Nimeangalia maana ya Username yako nikapata majibu na wala siwezi kukulaumu


Deception - the action of deceiving someone.
 
Shame on you
 
Dozi alishaanza mwanzon ilikuwa inamsaidia ila sasa hivi hali yake ni mbaya sanaa
Atafune mbegu tatu za mlonge!kila siku asubuhi anywe na maji MENGI!ZILE mbegu zinamenywa kwanza utakuta kiini chake ndio atafune anywe na MAJI!
 
Mkuu

Unachomesha WATU ujue!!?

Wakikuamini halafu wakaanza kufa!?utalipia gharama za uhai WAO!?
 
Inaonekana una kaujuzi flani hebu tupe details zaidi mkuu
 
Inaonekana una kaujuzi flani hebu tupe details zaidi mkuu
 
Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula


Je ni dawa zipi zinaweza ongeza CD4 kwa haraka zaidi?
Atumie arv no wayout
 
Halafu vinakuja vipumbavu humu ndani eti HIV ni hoax
 
wazungu pia wanatumia ARV
 
Poleni sana mkuu, ipo dawa ya asili nzuri sana kwa wenye HIV Inaongeza cd4,nguvu na afya mwilini mwa mgonjwa na akiianza hatahitaji tena hizo ARV's tuwasiliane nijue uko wapi na jinsi ya kuipata tafadhari 0656 871878

n.b sitanii
Hapo akimtafuta bei inaanzia 150 halafu haponi..
Kwani ukiandika hutanii ndio ukweli?
 
Kinachowafanya wawe na afya ni kuishi kwa lifestyle nzuri na si ARVs kama unavyoamini.Soma sana utajua tu mkuu.What about wale ambao hawatumii kabisa ARVs na bado wana afya njema kwa miaka mingi tu?Huwezi kufanya udadisi kwenye hilo pia?
Kuna mwmaba aliandika hivib..
Mtu kabla hajaenda kupima hali inakuwa shwari ... akishaenda kupima akipewa majibu ndio hali hubadilika

So anaweza kuishi nao kwa muda mrefu ili hali asijijue ila akijijua ndio inakuwa nongwa
 
Kuna mwmaba aliandika hivib..
Mtu kabla hajaenda kupima hali inakuwa shwari ... akishaenda kupima akipewa majibu ndio hali hubadilika

So anaweza kuishi nao kwa muda mrefu ili hali asijijue ila akijijua ndio inakuwa nongwa
Ujue kuna placebo effect ambapo hujulikana sana ila wachache hutambua nguvu yake kwenye self-healing, ila kibaya zaidi kuna nocebo effect(The power of negative beliefs hii ina nguvu sawa na placebo effect. Sasa hii nocebo effect ndio huwapata sana hao wanapima na kuambiwa wana ukimwi.

Kuna siku moja nipo saluni yule kinyozi anamnyoa jamaa huku wanapiga story, kinyozi anamwambia jamaa kuwa kapungua sana siku hizi, jamaa akasema wewe ni kama mtu wa tatu kuniambia hivyo hadi mkewe pia kamwambia.
Sasa kinyozi aliharibu kabisa ni pale aliposema kuwa umeukwaa yani ukimwi, hapo akawa kamkata stimu kabisa jamaa akaanza kuwaza kuwa pengine ni kweli maana anasema yeye ni mtu wa mademu sana, jamaa akapoteza mood kabisa akawa anawaza akienda kupima na kuambiwa ana ukimwi kweli itakuaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…