Msaada jinsi ya kuongeza CD4

Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula


Je ni dawa zipi zinaweza ongeza CD4 kwa haraka zaidi?
kuna dawa zimetengenezwa na maprofesa wa medicine nchini Malaysia zitamsaidia huyo ndugu yetu kuongeza CD4 ndani ya wiki 3!! Mimi ni mwanafunzi wa udaktar nipo last year ila kwa sasa nafanya kazi ktk dispensary ya profesa mmoja hivi mstaafu!! huyu mzee huwa anaagiza hizi dawa Malaysia na atakufundisha jinsi ya kuzitumia pamoja na kufatilia hali ya mgonjwa!!! nakuhakikishia hutaamini na utagundua kwenye medicine dawa zipo sema maprofesa wanaambiana na kusaidiana wao kwa wao tu.....kama utakuwa interested nitumie namba yko kwa pm tujue jinsi ya kumsaidia ndugu yetu







..
 
utakua umemsaidia ili na wengine kuwasaidia ebu weka mambo WAZI NA BEI PIA USIMVUTIE INBOX
 
Dah, hivi hii (HIV) ni wa kweli?, haiwezekani kuwa ana maradhi mengine yanayoweza kushusha hizo CD4?
yapo,
unaweza kuwa na UKIMWI lakini usiwe na HiV.
Na unaweza kuwa na HIV na usiwe na UKIMWI.


UKIMWI sio ugonjwa,ni Upungufu Wa Kinga Mwilini,
kinga zinazoulinda mwili kwa kupambana na magonjwa.


Unaweza kuwa na Ukimwi leo,baada ya mda ukawa huna,na baada ya mda tena ukawa nao,
lifestyle,what you eat or dont eat count
 
ARVZ?
MATUNDA
MBOGA
AENDE HOSP MBONA VITUO VINGI SANA


HASUMBUI UKIUMWA KULA NI TAABU POLE
Asante sana ameshaenda hospital ila wanasema akazaniwe chakula lakini kula hawez tunalazimisha kwa nguvu na ni kidogo sana anachokula
 
So, sio kila upungufu wa CD4 unasababishwa na Virus?
 
Asante ila kwa sasa hali yake mbaya hawez kufanya hayo yote na imebidi awekewe mipira ili aweze kula kupitia humo
 
Namjua,,, haaaa watu wanamirad hum
 
Amesharudi kalazwa
 
Sawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…