Msaada jinsi ya kuondoa ARENA FILE extension

Msaada jinsi ya kuondoa ARENA FILE extension

uwezo

Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
10
Reaction score
2
Ndugu wana bodi kompyuta yangu imevamiwa na ramsoware (kama sijakosea) na file zote katika mfumo wa pdf doc xls zimebadilika extension na hivyo kutosomeka kama ilivyo kawaida.Naleta kwenu ombi la kusaidiwa maarifa namna ya kukabiliana na tatizo hili.
Natamguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom