Msaada, jinsi ya kutengeneza ISO image kwa kuunganisha RAR files zaidi ya moja

Kiwangwa Son

Senior Member
Nov 29, 2018
178
115
Wanatech habari ya January,

Nina shida kama kichwa kinavyoeleza hapo. Naomba kufahamu namna ya kuunganisha .rar part files nyingi kuwa iso moja.

Mfano mara nyingi kule telegram kwenye magroup ya technology unakuta labda wanatuma software flani hasa hasa ni hizi windows mfano win 11.

Sasa unakuta hii windows wanai appload katika parts tofauti tofauti ambazo zipo kwenye mfumo wa .rar files, unakuta zipo kama hivi..

Win 11pro.rar 1.64gb part1
Win 11pro.rar 1.36gb part2
Win 11pro.rar 900mb part 3

Sasa hizo ukichukua kijipart kimoja setup au image inakuwa haijakamilika na haiwezi kuwa bootable sasa ndo naomba kuelekezwa namna ya kuzikusanya hizo parts hadi kupata .iso image ambayo inakuwa complete ambayo unaweza kuifanya ikawa bootable kama image zingine..

Au kuna uwezekano wa kufanya rar files zikawa bootable..

Naomba muongozo kwenu wataalam...
 
Ukishazidownload hizo .rar ziweke kwenye folder moja alafu extract ya kwanza itaextract zote, kama unataka kuzifanya iso tumia poweriso au imgburn.

Ila kwa ushauri kama ni windows kwanini usichukue iso kwenye official site ya microsoft?
 
Asante mkuu, official site network huku nilipo shida gb 5 kuzidownload ni changamoto ndo tatizo linaanzia hapo
 
Asante mkuu, official site network huku nilipo shida gb 5 kuzidownload ni changamoto ndo tatizo linaanzia hapo
Unadownload vizuri tu, tumia idm. Inauwezo wa kuresume downloads na kurefresh expired link kama unadownload kwa nyakati tofauti mpaka umalize.
 
Ndiyo maana nikakwambia unaweza kurefresh expired link hapo juu.
Sasa uki refresh inaanzia pale ulipoishia au?? Maana unakuta unapoteza gb2 halafu inashia kati ina fail uanze upya yani hii kitu inaniumizaga sana..
 
Back
Top Bottom