Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
Kwa nini mnaulizia paypal kwa aliexpress wakati wao wana paypal yao inayoitwa alipay ambayo ni nzuri,trusted na inayojitosheleza kuliko hata paypal??
Mkuu hilo nalijua Sema Nilikuwa namsahihisha TechTania aliyekuwa anapotosha kwamba aliexpress wana option ya paypal kwenye pc versionKwa nini mnaulizia paypal kwa aliexpress wakati wao wana paypal yao inayoitwa alipay ambayo ni nzuri,trusted na inayojitosheleza kuliko hata paypal??
Paypay hiko wapi hapo?Hiyo hapoView attachment 825416
Ok..haipo ila nilijaribu kukuonesha GateAway kibao zinaweza kutumika kwenye AliExpress, kama Western Union, WebMoney QIWI walletPaypay hiko wapi hapo?
Hoja ni paypal mkuu hizi zingine Zipo siku zote watu tuna mwaka wa nne sasa kufanya online transactionOk..haipo ila nilijaribu kukuonesha GateAway kibao zinaweza kutumika kwenye AliExpress, kama Western Union, WebMoney QIWI wallet
Ebay na Amazon ndiyo wapo hivyo nadhani kutokana na udanganyifu/upotevu wa bidhaa huko nyumaIla bidhaa nying mbna wanachagua nchi za kuuzia au mi ndo cjaelewa?
1.uwe na mastercard au visa card iliyo active online transactionLazima uwe na email au gmail
Ndiyo maanayakeKwahyo aliexpress wao wanakubal kusafirsha Africa?
Mfano umeshanunua ikasafirishwa inafikia Dar?, Then wana office zao or unapokea mtu uliyeagiza? Or inafika hadi mkoa ulioandikia address? Mfano Dodoma urban.
NiceKama ni posta...basi inafika dar pale..kisha wanasafirisha kuja posta ya sehem ulipo
Paypal ni payment gateway halafu ebay ni soko na bidhaa za ebay unaweza lipia kwa paypal.Je account ya eBay ni tofaut na ya PayPal?
Zip code sio SLP kila mkoa una zip code yake kama upo dar search google kwa kuandika dar es salaam zipcode.Nmepakua app ya PayPal inaomba zip codes mbili Ila nkitumia web inaomba zip code moja je mnanshauri nijisajil ipi app au web? Afu zip code wanambanisha SLP au?