utemi
Senior Member
- Mar 27, 2011
- 167
- 23
Wandugu,
Tafadhali kama kuna mwanajamvi yoyote ambaye anafahamu jinsi ya kununua vitu online naomba maelekezo. Asante!
Tafadhali kama kuna mwanajamvi yoyote ambaye anafahamu jinsi ya kununua vitu online naomba maelekezo. Asante!
Mambo niaje wakuu, Natumaini wote mko pouwa kabisa, mi naomba msaada wenu wadau kwa wale wanaojua jinsi ya kununua vitu online either iwe simu, gari, nguo au chochote kile ilimradi tu iwe online
1. kuna faida gani unayopata kwa kununua kitu online?
2. je unaweza ukanunua kwa hela yetu ya madafu? au ni ma dollar tu?
3. unajihakikishiaje usalama wa fedha yako ? tena kwa mtu/kampuni usioiona kwa macho yako na ipo mbali
Naombeni mnisaidie kwa hayo, nisiporidhika na maelezo bhasi ntaomba mdau mzoefu aliekwishawahi kununua kitu kwa njia hii ( online) anisaidie kwa niaba yangu ,then tutaelewana tu... natanguliza shukrani
Ndgu zangu wazoefu wa biashara hii ambao mnaijua kiundani naomba mnisaidie njia au hatua za kufuata ili kununua bidhaa online.Naipenda sana biashara hii ila sijui nianzie wapi,naomba wazoefu tupeane utaratibu pia njia nzuri za kufuata ili mzigo usishindwe kufika au kupotelea hewani
Last edited by a moderator: