Kuhusu Ushuru, Kampuni ndo iko responsible. Baada ya kufanya manunuzi Hakuna miamala ya Ziada/Kwenda TRA. Na hiyo ya kukuta Bidhaa haiko kama ilivyooneshwa..Hiyo inaweza tokea...Labda rangi kuwa tofauti.Ilinitokea mara moja tu...Je kama unanunua mf simu kuna ushuru unatakiwa kulipia TRA pindi ifkapo Tz? Pia huwez kununua bidhaa afu ukakuta haiko vile ulvooneshwa na muuzaji
Hapana, Labda ukinunua Bidhaa kwenye Nchi za mbali Mno kama USA( Amazon.com, Ebay.com) Ila ukinunua AliExpress au Alibaba au Amazon.co.uk, hakuna Shipping fee, ni bure hata kama Bidhaa ulonunua ni ya $2Je bidhaa za vifurush mf simu gharama za usafirshaj (shipping) haziwez kuwa juu zaid kulko Pesa ulonunulia kitu?
Hakuna risk bro, Ila unaweza kuomba refund kama ikitokea.....Shida ni benki Zetu huku, wana bania pesa mda mwingine,Vp hakuna risk ya Pesa inayoweza kujitokeza licha ya kununua mwenye masoko ya kuaminika kama EBay, Amazon au Alibaba?
Upo Sahihi Kuhusu Refund Maana Bank nyingi zinasumbua sana kwenye hilo.Hakuna risk bro, Ila unaweza kuomba refund kama ikitokea.....Shida ni benki Zetu huku, wana bania pesa mda mwingine,
Nadhani; Nimeelezea jinsi ya kununua bidhaa mtandaoni kwenye Blog yangu, Icheck hapa Blog | TechTania
Yep. Ila kama uli Add credit card yako PayPal, refund inakuwa rahisi zaidi...Haichukui mda na pesa yako haikatwiUpo Sahihi Kuhusu Refund Maana Bank nyingi zinasumbua sana kwenye hilo.
Nilihama BancABC kukimbia makato ya kiboya nikawa natumia Equity ila nao wanashida zao!!
Refund zangu 3 hazionekani Equity kwa maana hadi nikasumbuane nao kwa kuwafuata ofisini wakati BancABc wanaku alert kwa sms Pindi pesa zikirudi.
Bora nirudi tu BancABC kuliko Equity.
Ilo najua pesa ikirudi paypal hata isipoingia Bank bado utaweza kuitumia kufanya manunuzi mengine, shida ni kwamba Ebay,Amazon na mingineyo ndiyo inasupport payza.Yep. Ila kama uli Add credit card yako PayPal, refund inakuwa rahisi zaidi...Haichukui mda na pesa yako haikatwi
Access Site yao kutumia PC na sio App yao, Kila Vendor anakaribia Njia 15 za kupokea malipo(Kama ni Supplier)Ilo najua pesa ikirudi paypal hata isipoingia Bank bado utaweza kuitumia kufanya manunuzi mengine, shida ni kwamba Ebay,Amazon na mingineyo ndiyo inasupport payza.
Aliexpress wao wanatumia alipay na vitu vingi vinapatikana kwa urahisi aliexpress kuliko huko kwingine kwenye udhibiti wa bidhaa za kutuma huku kwetu
aliexpressKwahyo Mkuu apps gan ambazo ni the best Ku install kweny simu kama soko zuri la bidhaa
Ni sahihi kabisaMm sna PC natumia smartphone, je ni sahihi kutumia apps kama vile EBay, Alibaba nk?
Aliexpress zaidi ya kukata moja kwa moja kwenye card na alipay hawana option ya malipo via paypal.Access Site yao kutumia PC na sio App yao, Kila Vendor anakaribia Njia 15 za kupokea malipo(Kama ni Supplier)
Na mimi nilitaka kuuliza hiliAliexpress zaidi ya kukata moja kwa moja kwenye card na alipay hawana option ya malipo via paypal.
kama vipi tuwekee screenshot hapa tuone sehemu wanayoruhusu.
Hiyo hapoNa mimi nilitaka kuuliza hili
AsanteHiyo hapoView attachment 825416
Aliexpress zaidi ya kukata moja kwa moja kwenye card na alipay hawana option ya malipo via paypal.
kama vipi tuwekee screenshot hapa tuone sehemu wanayoruhusu.
Kwa nini mnaulizia paypal kwa aliexpress wakati wao wana paypal yao inayoitwa alipay ambayo ni nzuri,trusted na inayojitosheleza kuliko hata paypal??Na mimi nilitaka kuuliza hili