Msaada: Jinsi ya kununua vitabu Amazon

Ignorant

Member
Mar 9, 2008
27
6
Wanajamii naomba kwa mwenye kufahamu jinsi ya kununua ingependa kununua vitu kutoka Amazon hasa vitabu na movie. Hata hivyo nina account ya kawaida katika benki za CRDB (tembo kadi) na NBC. Nimejaribu kuangalia mtandao wa amazon na kukuta maelezo yafuatayo

Amazon.com accepts American Express, Diners Club, Discover, JCB, MasterCard, Eurocard, Visa, Visa Check Cards, payment from your checking account, Amazon.com gift cards, Amazon.com Gift Card claim codes, and the Amazon Store Card.

We do not currently accept international wire transfers, PayPal, or Smart Cards. For grocery purchases, we are unable to apply manufacturer's coupons, food stamps, or any other payment method not listed above.



Kuna jamaa aliniambia kuna jamaa yake hapa bongo amewahi kutumia kadi ya Tembo kadi kununua vitu amazon ingawa hakuwa na uhakika sana na hivyo tuliishia kubishana tu kulingana na maelezo hapo juu.

Naomba msaada tafadhali..

Natanguliza shukrani
 
Nenda CRDB kwenye tawi ulilofungulia account, kuna namna huwa wanafanya kuwezesha hilo. Kama upo Dar ni rahisi, sina uhakika sana na branches za mikoani
 
Kabla ya kuchukua hatua yoyote ninakushauri kwanza usogee CRDB au NBC kuwaeleza tatizo lako. Wao wanaweza kukupa ushauri bora zaidi

Kama ushauri wangu, nafikiri manunuzi mengi ya kimataifa hulipwa kwa Euros au Dollars, hata hivyo fedha nyengine zinaweza kutumika, lakini hapa tatizo la ziada ni hizo aina za kadi walizozitaja. Kwa hivyo ni bora kwanza utafute benki ambayo utafungua "foreign account" ili kutatua hilo tatizo la currency na pengine huko huko unaweza kupaka moja kati ya aina ya hizo kadi zinazotumiaka Amazon, ebay na popote untapohitaji kufanya manunuzi kwa kutumia credit card.
Good Luck
 
yeah we are many facing this problem, personally nataka sana kununua vitabu amazon ila utaratibu ndio ishu! aliyewahi nunua atuelekze pia si mnajua TRA yetu ya kibongo unaweza nunua kitabu ukaona ni cheap kinapofika unakuja nga'nga'niwa uongeze hata three times ya bei uliyonunulia unajuta kwa iyo msaada mkubwa utakua aliyewahi nunua mpaka akakipata ndio atakua msaada wetu mkububwa!
 
Back
Top Bottom