Habari zenu?
Naomba mnielekeze namna ya kununua voucher ya StarTimes kwa MPESA. (Nimejaribu ku-search thread nyingine hapa sijaona)
Pale ninapoambiwa niingize namba ya account, hivi namba ya account ni ipi?
-Ina digits ngapi?
-Je, ni zile zilizo katika barcodes mbili?
-Je ni ile iliyoandikwa kwa kalamu kwenye risiti?
(King'amuzi alinunua mtu mwingine)
Asanteni.