Bwana mdogo ukianza sifa za kumiliki vitu na kujitapa huo ni udada tena ni udem.Sina haja ya kukwambia mali na vitu ninavyomiliki kwa sababu havikuhusu na JF sio mahala pake.Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Hizo KM ulizitaja ndio umbali ninaokwenda kunywa bia kila weekend achilia mbali KM 100 za kila siku mara 3 au 4 kwa wiki.
Experience niliyonayo ni ya kimataifa sio ya Mwanza Tarime. na huwa napenda kujiwekea record na kuzivunja mwenyewe.
Kwa taarifa yako, mimi sio dereva wa kuendesha magari ya watu kama wewe. naendsha gari yangu binafsi hivyo lazima nifuate ushauri wa wataalaamu ukuizingatia kwamba spea zake ni ghari sana kwahiyo nikiambiwa haitakiwi kusimama kwenye mpando kwa kutumila clutch na accelerator lazima nizingatie.
Hahaaa.Inanisaidia sana pindi ninapokuwa natoka kupopoka hukoo mbali, maana hainipi nafasi ya kusinzia.
WIPER HAHAHAHAH DUUUUUH HII KALIJiamin, ni simpo sana. Ila kama ukipata emergency yyte ng'ang'ania breki na usukani na wiper ndio mkombozi wako. Kila la kheri
Hahahh, ukiwa na emergency ukapiga wiper kidogo inapendeza!WIPER HAHAHAHAH DUUUUUH HII KALI
kwel hii kal mkuu[emoji23]WIPER HAHAHAHAH DUUUUUH HII KALI
MKUU UMENICHEKESHA BALAAHahahh, ukiwa na emergency ukapiga wiper kidogo inapendeza!
UMEONA EEkwel hii kal mkuu[emoji23]
Mimi siku ya kwanza kujifunza manual tuliingia road moja kwa moja..Mkuu vipi automatic unaweza kuiendesha?unajifunzia chuo au mtaani? Kama ni chuo ukienda uko utapata maelekezo na mafunzo yote. Ila kama ni mtaani Tafuta dereva mzuri akufundishe na sehemu nzuri ya kujifunzia anzia kwenye kiwanja kikubwa kidogo kilicho wazi nikimaanisha kisiwe na miti mingi n.k. anza kwa kuzunguka uwanja huo mara nyingi kadri uwezavyo ukitembelea gia namba moja na mbili.
Ukizoea kuingiza gia bila kuangalia hapo unaweza kwenda hadi namba tatu ila muhimu tafuta dereva mzoefu wa manual akufundishe namna ya kubalance clutch na accelerator hasa wakati wa kuondoa gari kwenye mlima pia atakua anakusaidia kutambua makosa na kukurekebisha.
Ukishaiva uwanjani ingia barabara za mitaani zenye magari machache uanze kupata uzoefu ukijua manual ni raha sana.
hahahaaaaMimi siku ya kwanza kujifunza manual tuliingia road moja kwa moja..
hongera mkuu!hahahaaaa
Yeah! That’s why I always opt manual cars over automatic onesManual is fun. You don't get bored kabisa.
Auto nahisi nikiendesha nitalala nijishangae.
Mkuu ukiendesha gari ya manual kama week 2 hivi au 3 mfululizo lazima utaimudu tu.Hii ndio ilinishinda, nakumbuka tulikuwa na gari ya tatu manual kwa ajili ya maza toyota sprinter mayai ilinunuliwa mwaka 2002 home. Katika kuiosha nikawa najifunza kuendesha kibishi aisee ilikuwa inazima zima na kustuka balaa . Hadi nikakata tamaa!
Ila juzi kati nikakamata nissan cube, tupiamo D mafuta kidogo naona kitu kinateleza tu nikiona jam nabonyeza brake nasimama. Sasa nimehamia kwenye isis hata Mwanza nafika bila shida. Ni mwendo wa D,P,N,R
that's why I also want to learn How to master these manual cars! they are so funny I think!Yeah! That’s why I always opt manual cars over automatic ones
Trust me when u master manual cars u will never go back to drive the autos!that's why I also want to learn How to master these manual cars! they are so funny I think!
sawa mkuuUsipoelewa kwa mfanoo baasi.