amana mkuu msaada naombaNadhani hizo bia ulizokunya ndio zimeandika uzi huu
apana shaid tena sio km alinipa zote pamoja alikua ananipa elf 20 mara 10 ndo zikafika izo na ni mwaka jana ameona chuo tumepata BOOM ndo ananiganda anadhan nitampaKulikuwa na mashahidi wakati mnakopeshana?
daruso wamesema hawawez kumsaidia maana sheria za chuo haziruhusu maden ya mtaani kudaina chuo so aende maakamanUnakopa afu unatafuta mbinu ya kukwepa,huna hela ya kulipa deni unazo za kuweka kwenye madhabahu ya shetani, kwepa hilo deni lkn kaa ukijua hilo deni linaweza kukufukuzisha chuo, kwa namna yyte ile, hujui anayekudai ana shida gani,anamuombaje Mungu wake ili wewe tuu upate adhabu stahiki, hutakuwa na amani na deni, wanasema dawa ya deni lipa deni.
Na mm nasema kalipe deni la mtu, pombe hizo chuo hutamaliza, nimesoma UDSM pia mwaka jana nimemaliza Degree ya Psychology, nafaham jinsi gani maisha yalivyo magumu chuo.
Psychologically uta suffer, then guilt feeling itakumaliza, zaidi jamaa anakaribia kuluweka ndani, ameanza na DARUSO, kifuatacho, ndani polisi.
sio km sitak kumlipa tatizo amefanya chuo kizima wajue mana duce ni chuo kidogo sanaDawa ya deni ni kulipa. PERIOD.
Ukianza urushi na umri huo je ukifka makamo yetu utakuwaje kijana?
haaadawa yake ni kuacha chuo hapo utakuwa umemkomoa balaa unarudi zako mkoani kula bia
Sasa wewe unataka ushauri gani wakati inasemwa dawa ya deni kulipa?acha ujinga wako lipa deni unalodaiwa.wakuu habar
kuna mtu ananidai 150000 mwanzo alikua ni jamaa angu sana lakini aliniudhi kuja kuniripot chuo kwamba ananidai na siku ilenilikubal mbele ya DARUSO (ni uongoz wa wanafunzi UDSM)na sheria za UDSM ni lazma ulipe km unadaiwa na mwanafunzi mwenzako tu yaan wa UDSM aijalish yupo college gan au MUCE na DUCE mm nasoma duce sasa jamaa anasoma MWENGE kwa iyo sheria awez kunidai chuon sasa leo kaja DSM et kunidai presdent na viongoz wake wakanipigia simu nikasema sipo chuo nipo mbali ..sasa iv nipo nakunya bia apa ili nichangamke afu niende..sasa naomben msaada njinsi ya kukwepa ili den mana kashaniabisha sana uyu jamaa na mm nimeapa simlipi MSAADA jaman
Kwa udogo huo huo wa Duce ulipaswa kuepuka fedheha kwa kulilipa. Hakuna mdaiwa mwenye heshima kijana.sio km sitak kumlipa tatizo amefanya chuo kizima wajue mana duce ni chuo kidogo sana