Msaada jinsi ya kujua matokeo ya NACTE

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari za muda huu ndugu zangu eti kuna ujanja wowote wa kujua matokeo ya NACTE kabla ya chuo kuyatoa? Maana kuna mtu ameniambia unaweza kuyaona online kama kuna mtu anajua naomba anielekeze ilo niangalie.

Asanteni.
 
mkuu matokeo bado hayatoka

hata ukiangalia kwenye profile usichanganyikiwe na kuandikiwa pending kwenye status

matokeo yakitoka hayatumwi kwenye mfumo yanatumwa kwenye chuo husika then kwenye mfumo yatakuja kua updated baadae kidogo

By the way matokeo yenu bado hayajatoka

umemaliza level ipi kwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu ndugu zangu eti kuna ujanja wowote wa kujua matokeo ya NACTE kabla ya chuo kuyatoa? Maana kuna mtu ameniambia unaweza kuyaona online kama kuna mtu anajua naomba anielekeze ilo niangalie.

Asanteni.
lakini kwa ulivyotaka kujua ww ni hivi kama ifuatavyo

ingia Google then andika NACTE VERIFICATION then itakuja hivi
Screenshot_20201106-153720.jpg

baada ya kubofya hapo kwenye students verification itakuja hivi

then unaweka namba yako ya nacte ya usajili then unafata maelekezo kwa chini

baada ya hapo kuna sehemu imeandikwa hakiki then utahakiki itakuletea information zakoView attachment 1620828
 
Back
Top Bottom