Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,098
- 12,112
Dah kwa hali ya sasa unaweza ukajikuta umehangukia katika ajira ambayo wala haukuitarajia
Tunyooshe Baba
Sidhani kama kuna Polisi aliyekuwa ndoto ya kufanya hiyo kazi.
Dah kwa hali ya sasa unaweza ukajikuta umehangukia katika ajira ambayo wala haukuitarajia
Tunyooshe Baba
Wapo mkuu... kuna Jamaa nilisoma nae Diploma akawa anasema akimaliza tu yeye anataka aende JWTZ au UPOLISI yani anapenda sana.Sidhani kama kuna Polisi aliyekuwa ndoto ya kufanya hiyo kazi.
Wapo mkuu... kuna Jamaa nilisoma nae Diploma akawa anasema akimaliza tu yeye anataka aende JWTZ au UPOLISI yani anapenda sana.
Kutupiga UKAWANini kinachokufanya utamani kujuinga na jeshi la Polisi??
Sijui umekula mahage ya wapi ww?Kutupiga UKAWA
Wewe bashite hujui hata kuandika mahage ndio nini??Sijui umekula mahage ya wapi ww?