Msaada Jinsi ya kujiunga Police kwa sasa

Msaada Jinsi ya kujiunga Police kwa sasa

hadi 2015

walichuliwa shuleni, na jkt.


mwaka huu nasikia bila three iliyobalansi hakuna kuona CCP palivyo
 
Wanachukua jkt kama uko mtaani uwezekano ni mdogo.
Hata hivyo nafasi hazijatangazwa
 
Ni moja kwa moja kutoka JKT na si vinginevyo.
 
Sins uhakika, ila wale wa JKT watapewa kipaumbele.. Hii awamu ya mwisho yote imepita JKT
Hapana ukweli ni kwamba polisi wa depo la 2015/2016 walichukuliwa jkt kama 1500 hivi na wengine walitoka mashuleni 4m6 waliopita mujibu na 4m 4 na wengineo
 
Back
Top Bottom