Msaada jinsi ya kujiunga na bado la Bajuka la TTCL help

TZ boy

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
625
181
Msaada wandugu kama nilivyo eleza hapo juu nataka kutumia kwa laptop thanks
 
Kwa msaada wa Haraka,connect modem yako kwenye laptop yako,kisha connect na Head set/Head Phone. Alafu piga 100 ambayo ni namba ya huduma kwa wateja kisha uwaeleze shida yako nao watakuconnect. Au tafuta simu ya TTCL ya mezani au mkononi kisha wapigie na ukiwatajia namba ya simu ya modem yako watakuunganisha.
Ikishindikana nenda ofisi zao
 
kAZI IPO
 
Back
Top Bottom