Kma ni kijana wa kazi nna uhakika hata kuzima data hajui na ameweka line yake kwenye hyo simu. Kwahyo itakua ina connect mtandaoni kila akiiwasha sababu haja zima data na hajafikiria hloKwa ufafanuzi tu mdogo kuna simu iliyopotea na iliyoibiwa na iliyoisha moto last location itaonyesha eneo la mwisho wakati simu inashia moto kama ilipotea ni rahisi kuipata au inaweza tu kusaidia simu iliyoibiwa kujua eneo la mwisho mwizi alipoizima so kwa tz yetu iwe ambayo hakuna free wireless ni vigumu sana kutumia location bila mhusika kuweka line na kuwasha data
najqlibu tu kuona kwa nini kuna misinformation nyingi kwenye iphone wakati vitu vipo wazi
nikurekebishe kauli. izo simu haziibiwi zina amishwa tu kidogo
security ya Iphone 12 pro max technlogia yake ni ya marvelHakuna kitu kibaya kinauma kama simu ya milioni mbili kuwa sikirepa
security ya Iphone 12 pro max technlogia yake ni ya marvel
IMEIBWA.Wakuu nimeibiwa Leo iPhone 12 pro max na kijana wa Kazi na kutokomea nayo.
Je, ni kwa namna gani naweza ipata?
watu wa iphones hasa za bei mbaya,niwashauri tu.
unapowasha find my iphone iweke kwenye sehemu ya kuirestore kila kitu iwe kama mpya endapo itaibiwa,ili mwizi aweke line ikamatwe.
hii ni katika namna ya kufanya bidhaa yako ya thamani isiishie mikono ya uharibifu na hatimaye kupotezwa kabisa kwa kupitia mafundi wa spare.
wengi wetu hatujui kwamba icloud haiko kwa ajiri ya simu ila data,lakini kwa wabongo simu ni muhimu kuliko data.
chukueni hiyo.
Hongera sana mkuuu share na sisi jinsi ulivyo pambana mapka ukai pata simu yakoNimeipata
Alafu watu humu walikua wanasema uachane nao eti mapolisi watakuzungusha tu [emoji23][emoji23].Mkuu nilifanikiwa kuzipata zote.
Asante sana mkuu...Alafu watu humu walikua wanasema uachane nao eti mapolisi watakuzungusha tu [emoji23][emoji23].
Mali ya bei kubwa hyo lazima waitafute na kuirudisha. Pole sana kwa kuhangaika mkuu. Lakini mali imesharudi salama
Niliipata mkuuFind my phone ni mlinzi wa data zako kwenye iphone na kumfanya mwizi asiweze kuitumia......na wala sio kufanya uipate iphone yako
Ingia online wipe simu iphone yako na itoe kwenye icloud yako iwe free ili mwizi aweze kuitumia kisha umtrack kwa imei no
Mi iphone yangu nimezima kabisa find my phone na nimeiset ukikosea password mara kadhaa inaji restore ili atakayiiba aweze kuitumia nipate mwanya wa kumtafuta