Si kweli mkuu, pc tunayotumia ofisini inatumia bit 32, na nikapiga windows bit 32 ,ikagoma kuprint, nikadownload software yenye bit zote ikagoma pia, hizi printer ukishusha windows kikubaliki ni ngumu kuprint

Ir2520 kama mdau alivyosema inakuja na 32bit driver, na huwa inafanya kwa Network sio usb. Hivyo ili iweze kufanya ni vyema ukatumia computer yenye 32Bit Os hata kama ni windows 10, na utumie ile driver cd iliyokuja na mashine. Mwishoni kabla hujaanza kuprint ingia kwenye printer settings set paper size na tray unayotumia.