Msaada jinsi ya kuinstall Microsoft office

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,153
21,293
Habari wakuu

Hivi ukichukua Microsoft office ukaiweka kwenye flash then ukataka kuiweka kwenye PC nyingine unafuata hatua zipi?

Kwa wataalumu ndugu zangu, wengine haya mambo tumepitwa!
 
Lazima uwe na installer yake. Huwezi beba app za office zilizokua installed kutoka pc moja kwenda nyingine. Hazitafanya kazi
 
Unataka kucopy zile shortcut icon kwenye desktop? Hiyo haiwezekani
Kama hauna setup hiyo njia haitafanya kazi. Pakua mtandaoni zipo nyingi sana setup
Microsoft office 2007 haizidi hata 700mb.
 
Unataka kucopy zile shortcut icon kwenye desktop? Hiyo haiwezekani
Kama hauna setup hiyo njia haitafanya kazi. Pakua mtandaoni zipo nyingi sana setup
Microsoft office 2007 haizidi hata 700mb.
Mkuu, tupo 2021 unamshauri aweke 2007? Bora hata 2013 asee.
 
Back
Top Bottom