Msaada jinsi ya kuinganisha simu na airtel internet

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Jamani naomba mnisaidie procedure ya kuiunganisha simu nokia n50 na internet ya airtel
 
jaribu wap nokia n50 tuma kwenda 232 au internet kwena 232 (but sina uhakika sana, muda mrefu nilitumia)
 
Airtel wahuni hawatumi settings at uki request,just apply manual settings and there ur r
 
Nenda makaomakuu moroko tafuta technishani sio wauza sura watakusaidia
 
andika tu neno internet tuma kwenda namba 232 simpo like that ikigoma ni pm nikupe maelekezo ya kufanya manual configuration
 
Ukihitaji internet tuma neno "internet" kwenda 232, Na Ukihitaji wap tuma "WAP" kwenda 232,Na ukihitaji mms tuma "mms" kwenda 232. Watakutumia settings na uta accept. Pia kama ni simu inayohitaji manual configuration na ukaamua kutumia vodacom, watakutumia settings za kufanyia manual configuration kwa kutuma sms kwenda 15300 kwa mfumo wap>aina ya simu>model No. ya simu. Kumbuka kudanganya model No. kwa kuweka ya simu yoyote inayokubali auto configuration kama nokia 6030 n.k
 
nenda menu then tools then settings then connection/destination utakuta accesspoint we create new cha muhimu apn(access point name) iwe internet vyengine vyote achana navyo connection name eka hata jina lako utatumia internet zote
 
Back
Top Bottom