Nakuelekeza njia mbili,ya kwanza data zitapotea zote, ya pili data hazipotei. No1:zima simu yako na isubiri kama dk 1-2 halafu bonyeza power button na volume up button kwa wakati mmoja itatokea recovery mode utaona sehemu delete all user data chagua hiyo na hapo itafuta data zote baada ya hapo iwashe kazi imekwisha ila data kama picha,video nk vitapotea, njia ya pili data hazipotei nayo ni NO2 tumia computer download and install android sdk tools for run adb commands, connect your phone with computer via Usb halafu fungua folder ya android sdk tools users>app data>local>Android>android-SDK>platform-tools then click on blank space hold shift and click right mouse button and select open command window.To check your device is properly connected or not put command adb devices baada ya hapo weka command adb shell rm /data/system/gesture. key baada ya hapo reboot your phone UMEMALIZA!!ukiwa na tatizo lolote la smartphones au laptops au lcd computers au chochote kinachohusu IT nicheki +255628892077 whatsapp