AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,700
There you are...
Ndio maana nikasema sio kila simu inatumia hiyo trick ya volume key na power key.
Mtoa mada aseme anatumia simu aina gani ili asaidiwe.
Na kuna simu za Chinese phones (generic) na zenyewe hutumia button tatu. Iliyoongezeka kwa hizo simu ni (home button hii ya touch) ivyo iakulazimu u-hold kwa nguvu ili mguso uwe detected. Niliwahi kuifanya hii kwa simu ya dogo...ilikuwa itel