Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,554
Msaaaaada tafadhali
Thanks ngoja nijaribuKama ndio mara ya kwanza utapata tabu! tafuta sat finder ka na io huna angalia uelekeo wa dish la jilani, nyuma ya dish lako ukilifunga kuna No kama upo dar nyanyua elevation uweke kwenye No 51 degrees, kisha uelekeo wa jilani na jicho kwenye tv ka signal zitasoma.
Kwa hiyo cha muhimu ni dish kuliweka vizuri tu?Kama ndio mara ya kwanza utapata tabu! tafuta sat finder ka na io huna angalia uelekeo wa dish la jilani, nyuma ya dish lako ukilifunga kuna No kama upo dar nyanyua elevation uweke kwenye No 51 degrees, kisha uelekeo wa jilani na jicho kwenye tv ka signal zitasoma.
Niko geitani pm namba yako nikuelekeze am proffessional kufunga na upo mkoa gan
Tuoneshe hzo transponder namba kwanza zinazosoma kwenye Iko kisimbusi chako ndo tutajua soln yakeMsaada namna ya kuzipata chanel za azam tv nimeset dish signal iko pw zinaonesha chanel za nje tu