MSAADA JINSI YA KUFLASH SIM

unque bin unuq

JF-Expert Member
Apr 20, 2017
350
456
wakuu ni app gani inaweza kufaa kuflash sim aina ya vodafone iwe inasupport lain tofauti na voda?

Natanguliza shukurani
 
Kuna jamaa wa ku unlock wanakuja. Au kama vp mpe fundi simu riziki
 
Back
Top Bottom