Unaijua port forwarding vizuri na matumizi yake?Kwa ufahamu wangu najua port forwarding unaweza kufanya kwenye kifaa ambacho kina uwezo wa kufanya kazi kama "Router" sasa sijui ni modem gani unaongelea,kwani modem katika khali ya kawaida haifanyi routing labda kama kuna kitu nimemiss kuhusu modem unayoiongelea.Wakuu, naomba kuuliza kama kuna njia yoyote ya kufanya setting ya port forwading kwenye hizi modem za usb.
Unaijua port forwarding vizuri na matumizi yake?Kwa ufahamu wangu najua port forwarding unaweza kufanya kwenye kifaa ambacho kina uwezo wa kufanya kazi kama "Router" sasa sijui ni modem gani unaongelea,kwani modem katika khali ya kawaida haifanyi routing labda kama kuna kitu nimemiss kuhusu modem unayoiongelea.
Ok,huwezi kufanya kwenye modem kwani modem haifanyi kazi za router na siyo router zote zinasupport port forwarding.Najua kuwa inafanyika kwenye router, ila nilitaka nijue kama kuna uwezekano kufanyika kwenye modem.