kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,198
cocochanel watu wanapenda spoon feeding[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha haaaaa ulijifunza ili ujifanyie au umfanyie nani? Nilekeze massage parlor yako nije[emoji12]Inanoga kuangalia kwa macho kuliko kuandikiwa... imagine mtu si ataandika gazeti...lol
Na pia atachagua inayomvutia ndio maana sikuhangaika kumuwekea link.
Mimi nilijifunza huko huko zamani.
Habari zenu wadau . bila kupoteza muda mim naomba msaada tu kupewa darasa la kufanya massage kwa ajili ya kutoa uchovu na kumpa raha mpenzi wangu . nimeamua kuomba huu msaada kwa sababu tupo mbali na mjini kwenye Huduma za massage kwahiyo kaz na mihangaiko yetu naona ni bora kujua hii Huduma ya massage ili awe mwepesi ki mwili na kiakili (najua naye ntamuelekeza asome ili afanye na kwangu pia) lakin najua kiafya pia massage ni tiba nzuri .
Naomba kutanguliza asante
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yani kazi zake yal ukijiongeza ndo mana muuza duk alikukadilia kma kwel unaend kuyafanyia massageNilishawahi kuuliziaga mafuta ya massage dukani, kuna mdada alishtuka kwa mshangao na kuanza kuniangalia kwa makin sana hadi leo najiuliza ule mshangao n wa nn!!
Najua wewe sio mtu wa kujipunja, maisha yenyewe mafupiNaona ameshapata masafa wa kutosha hapa. Shukria kunifikiria kama mtoa suluhisho.
Najua wewe sio mtu wa kujipunja, maisha yenyewe mafupi
Aseee Mkuu bila shaka ww u nguli katika tasnia hii tuelekeze wenzio...Hakikisha mikono inakua laini, usije muumiza mwenzako bure..
Lahaula!! kumbe nna wajina humuNunua oliver oil akitoka kuoga basi alale kifudifudi mpake mafuta anzia kiunoni ukipanda kwa juu poleee poleee huku story mwanzo mwisho
massage kwa kwenda juu hadi shingoni
yaani ona hapa mikono yako fanya hivi vile vidole gumba vikutane pale kwenye sijui ndo uti wa mgongo then fata utaratibu unapanda na kushuka
alilala wewe unaweza kumkalia chini ya matako kidogo yaan kama vile umembana kwenye mapaja yako then hapo utapata balance unaanza massage pole pole stori weee baada ya nusu saa alishasinzia longiiiiiiii time.