Mohamedy cadinaly JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 2,449 Reaction score 2,276 Oct 14, 2017 #1 Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema naombini msaada kwa anayefaham installation ya Eurostar dish anipe muongozo. Asanteni
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema naombini msaada kwa anayefaham installation ya Eurostar dish anipe muongozo. Asanteni
pachachiza JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,875 Reaction score 2,781 Oct 14, 2017 #2 Mkuu muone Mwl RCT ni mtaalamu kuna no zake humu kwenye nyuzi mbalimbali anazotoa mada kuhusu satellite dish.
Mkuu muone Mwl RCT ni mtaalamu kuna no zake humu kwenye nyuzi mbalimbali anazotoa mada kuhusu satellite dish.
Shedangio JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 448 Reaction score 170 Oct 15, 2017 #3 Euro star ipo hiyo?