iyo haitumii user name mkuu anatakiwa kuweka namba ya mtihani pamoja na email Apo ikifunguka majina atayakuta umo ndani pamoja na course aliyochaguliwa atajaza anapoitajika kujazacku unajisajili nazani ulipewa user name pamoja password yake hvo unatakiwa utumie hizohizo kuingia na ukikoxea ata kitu kimoja aiwezi kufunguka kuwa makini wakati unaingiza