Habari. Pole sana kwa tatizo.
Dah mzee yaani ku crack passpord sio rahisi kama unavofkiria yaan mtu atakuelezea ukafahamu, inahitaji knowledge kubwa ya computer. mimi kwa haraka haraka cha kukusaidia, unapo restart computer yako tu kabla haijaanza kuwaka bonyeza button ya F8 mara nyingi mpaka italeta screen maneno utaona sehem imeandikwa Safe Mode, basi tumia zile button ya kupandisha chini na kushusha uiweke kwenye hiyo Safe Mode na ubonyeze Enter. itaanza kuleta maneno mengi sana wewe chukua juice kunywa na u relax mpaka itakapoleta majibu, ukiona imeleta tena uingize password ujue imebuma, na kama haijaleta bac computer yako itawaka sema itakua na background yeusi sema desktop unaiona fresh kbsa, nenda control panel kwenye user settings na ufungue user ingine km administrator umpatie priviledges na ile ambayo umeisahau password unaifanya guest unaweza kuivunja kutokea kwa style hiyo. ama njia ingine ni kupiga windows, zaidi ya hapo mzee nenda kwa mtaalamu aweze kui crack, m2 asikudanganye cjui kuna software au uingie google usome post uta download ma virus tu mzee, password inakua cracked kwa command, na kama hujui computa ni utata mkuu. nipe feedback kwa solution ya juu. ASANTE
Zipo tools nyingi sana za ku-crack password za Microsoft Windows.
Hizi ni mojawapo tu nazotumia
- Ophcrack
-Konboot
-Active @ password changer.
-Linux Os e.g ubuntu.
Zote hizo ni bootable, So unatakiwa kudownload image(ISO) then una-run kwenye PC yako as live cd. Ila sidhani kama itakuwa rahisi kwako kuzitumia kama wewe sio Computer expert. Otherwise tafuta msaada, au kama upo Dar nitafute.
HMS
.
ku crack password za pc ni easy sana kuliko za simu
.
mwanzisha thread tumia Konboot utaweza ku bypass password zako kirahis tu ila kama sio za Bios...
.
ukiivuka tu option ya password ktk window... Mchezo umeisha
.
unaweza run CMD kubadilisha password bla kuzijua za zamani... Kama hujui ku run Net user we sema nikueleze... Mwanzsha thread
pole sana kiongozi. me nimefanya sana hizo kazi. juzi mtu ameniletea pc yake nimtengenzee yenye password, nikaicrack nakuifangua. me natumia windows 7 Royale ina pas craker ndani. chakufanya: tafuta cd ya window hasa 7 au vista, ingiza na uirestat pc, kabla ya kuwaka utabonyeza F9 then utachagua boot device kuwa CD na utafanya kama unataka kuistall window itakuletea menu hapo utachagua namba ya kucrack password na kufuata maelekezo mafupi utakayopewa kwa kuchagua user unayetaka kuondoa password yake. very simple. try that man. Pia waweza tumia offcrack nk kama alivyoshauri kaka km hapo juu
.kwa hyo mkuu,nahtaj cd ya window tu,kisha niiboot km nataka kuinstal,baada ha hapo inaleta mambo gan,nielekeze kwa kifup mkuu,je italeta user accounts?na km italeta hvyo ntafanyaje?
nashauri hata ninyi wataalam ukiwa unafix tatizo install paltalk inawataalam wengi wtafix tatizo kwa kukupa maelekesho kwa njia ya mic au sms(chat) imenisaidia matatizo madogodogo ya kijinga nimeyajua kupia wao, kwa mfano wkt flan siujui kwanini kompyuta inaniambia web ninayojaribu kuingia sio safe inanitishia lkn kumbe bettry imeisha, haiwezi hata kuupdate tarehe. Free Video Chat, 5000+ Video Chat Rooms - PaltalkC++.
Yaan kwa mtu asiojua CMD ni mtihani sana maana computer ikiwaka inaleta screen ya kuingiza password, hawezi iona hiyo Command Prompt, inabidi achape code kwenye guest user aiweke kwenye system32 ili aki restart awe na access ya CMD hapo ndo itakua rahisi, a copy ile explorer.exe hlf apige shift mara tano italeta hiyo CMD sasa ile process yake mie hadi inanitia uvivu kumwelezea maana kama hajui ni ngumu kufahamu. ila sumtimes kwenye user interface inapoomba password uki click Ctrl+Alt+Delete mara mbili inaweza kuleta device manager hapo kdg inakua rahisi kupata CMD den net user hapo inaenda tu japo sumtymz hua inagaoma kama password ipo kwenye BIOS, inategemea na nguvu ya password yenyewe pia. ila Konboot sio mbaya sn lakini hua mara nyingi haileti password maana wengi wana set password kwenye BIOS km ulivosema, upo sahihi kabisa mkuu.
Inaelekea umekalili mkuu!Chakufanya: tafuta cd ya window hasa 7 au vista, ingiza na uirestat pc, kabla ya kuwaka utabonyeza F9 then utachagua boot device kuwa CD na utafanya kama unataka kuistall window itakuletea menu hapo utachagua namba ya kucrack password na kufuata maelekezo mafupi utakayopewa kwa kuchagua user unayetaka kuondoa password yake. very simple. try that man.
Hiz application sijazpata aisee,unapatkana wap mkuu.