Msaada: Jinsi ya kublock SMS

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,375
Wataalam naomba mnisaidie njia nzuri ya kublock SMS kutoka kwa namba nisiyotaka initumie SMS

Njia hiyo iwe tofauti na ile ya kuinstall apps kutoka play store

Asanteni
 
In *35*0000#
Out #35*0000#
safi sana lkn mm nakumbuka namba hizi zinablock kila kitu kuanzia simu hadi sms
huenda mleta Mada anataka SMS tu
mmnaijua ya Blacklist unambada usiyemtaka kwa simu na sms
 
Mkuu simple Sana
1. Kama umesave Jina lake futa Hilo Jina ibaki namba isiyo na Jina.
2. Fanya kama unaipiga hiyo ili iwepo kwenye call log(call history)
3. Fanya kama una select hiyo Namba kutoka kwenye call history or call log.
4. Baada ya hapo screen yako itakuwa na hiyo Namba na details za incoming/outgoing calling za hiyo Namba.
5. Kule juu kulia utaona sehemu ya kubofya then select block number.
6. Kuna option 2 za ku block number zitaonekana yaani call block and sms block.

Now Is up to your.
 
Nikitaka ku-unblock inakuaje? Nimechek hivi ulivyonielekeza nimepata hiyo option
 
Mkuu simple Sana
1. Kama umesave Jina lake futa Hilo Jina ibaki namba isiyo na Jina.
2. Fanya kama unaipiga hiyo ili iwepo kwenye call log(call history)
3. Fanya kama una select hiyo Namba kutoka kwenye call history or call log.
4. Baada ya hapo screen yako itakuwa na hiyo Namba na details za incoming/outgoing calling za hiyo Namba.
5. Kule juu kulia utaona sehemu ya kubofya then select block number.
6. Kuna option 2 za ku block number zitaonekana yaani call block and sms block.

Now Is up to your.
Na sisi tunaotumia tecno hizo process zipo? Au ni kwa wenzetu wa iPhone
 
Mkuu simple Sana
1. Kama umesave Jina lake futa Hilo Jina ibaki namba isiyo na Jina.
2. Fanya kama unaipiga hiyo ili iwepo kwenye call log(call history)
3. Fanya kama una select hiyo Namba kutoka kwenye call history or call log.
4. Baada ya hapo screen yako itakuwa na hiyo Namba na details za incoming/outgoing calling za hiyo Namba.
5. Kule juu kulia utaona sehemu ya kubofya then select block number.
6. Kuna option 2 za ku block number zitaonekana yaani call block and sms block.

Now Is up to your.
Alivyosema huyu.
 
Back
Top Bottom