Msaada jinsi ya kublock namba kwenye android phones

thA bubs

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
275
250
Habar za muda wana wa JF!
Bila ya kupoteza muda niingie mojakwamoja kwenye mada kuu!,
Mwenye kujua tafadhali naomba anisaidie jinsi ya kum'blok mtu kwenye simu za androids,
Its almost 2yrs now nasumbukia kujua utaalamu huu.
 

thA bubs

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
275
250
inawezekana kutokana na android version unayo2mia kwenye 7.0 nougat ipo lakn nakumbuka kwenye 6.0 marshmallow hii ki2 ilinisumbua nilikuwa na2mia installed apps
Waweza nisaidia kajina ka hiyo app ulotumia katika Android 6.0 marshmallow?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom