mitutwe pazi
Senior Member
- Feb 16, 2013
- 150
- 28
Heshima mbele wakuu..
Naomba mnisaidie jinsi ya kubadilisha lugha kwenye pc, hii mashine nimeipiga window lakini katika hali ya kutokujua nimechagua lugha ya ki-portugal, so nataka kuirudisha kwenye english...
tafadhali naomba mnisaidie nibadilishe lugha bila ya ku-upgrade..
Toa maelezo kikawaida tu ktk lugha ya kiingereza
Natanguliza shukrani..