Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 688
- 796
- Thread starter
- #21
Hii kitu naona ina process ndefu, ngoja tu niwasubiri hao Tcra June, wakati huo naendelea kujipanga kupata simu nyingine.Yani hapo mpaka ui-root install exposed, then xposed imei changer. Ingekuwa ni mtk ungeroot tu halafu unatumia mobile uncle. Lakini hiyo mpaka utumie hiyo process hapo, na unatakiwa ujue unachofanya au utaifanya simu yako kopo(IYO NI WARNING USINILAUMU MIMI IKIWA KOPO) 😛
Thanks Though.