Msaada jinsi ya kubadili kozi chuoni

alex255

Senior Member
Jun 5, 2017
119
46
Habar ndungu wana jf.
Naombeni msaada wa kimawazo ni jinsi gani naweza badili course kwa mwaka wa masomo 2017/2018 ambapo awaki nilikuwa nasoma degree ya building economics ila sijaipenda kwa kwel

je wakati gani naweza fanya ili nipate admission mpyaa.

Nawasilishaa wapendwaaa
 
Kwanza nataka kufahamu nini sababu ya kutokuipenda Building Economics( Quantinty Surveying)
Lakini ushauri wangu ni kwamba at first hauwezi kuielewa hii course lakini ni mali sana hii mdogo wangu! Trust me....hautojutia hapo mbele. Najua uko hapo Ardhi
 
Nkwel kaka lkn inanshindaa kbisaa
 
Back
Top Bottom