Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Nenda uliko chaguriwa muraaa
Asante kiongoz nangojea tu
Haya kiongoz nilizania labla kama na weza mtafuta lecture hvHiyo ni mpaka chuo kifungue na ukamilishe usajili. Kwahiyo kwasaaa bado ni mapema sana.
vigezo utakutana navyo chuoni SUA.
hapana ukifika chuo kila kitu utakikuta huko so kama course unayotaka kwenda itakuwa ina nafasi utahama bila wasiwasi. But cha msingi ni kuripoti kwanza chuo mengine yatafuataHaya kiongoz nilizania labla kama na weza mtafuta lecture hv
Alichokushauri ndio sahihi, utafute lecturer wa nini tena. Ukifika chuoni na kuwa registered utafanya hivyo baada ya kupewa taratibu zote maadam unakidhi vigezo vya kusoma BVM.Haya kiongoz nilizania labla kama na weza mtafuta lecture hv
Acha kumkatisha tamaa mwenzio hiyo anaweza kusoma VM kabisaMkuu BVM Kwa huo ufaulu wako hutapata maana wanachukua mwisho 1 ya 9 mara chache sana kukuta 2 tena za 10, cha msingi nenda kasome hiyo diploma tu au kasome ualimu
Hata mm kanistua mwisho 1 ya 9 au 2 ya 10 ila kaongea piont kwasababu kuna CBG maana kwa PCB mmmmhh!! Asilimia chache kwa kweliAcha kumkatisha tamaa mwenzio hiyo anaweza kusoma VM kabisa
Ukifika chuo inawezekana kama kuna nafas kozi hyo plus ikizi vigezo. Kwa sua n jambo la kawaida kubadili kozi japo s wote wanofanikiwa
Yeah ni kozi complicated kidogo!Hata mm nimeambiwa hvyo tena tena akasema weng wanaikimbiaga hii course kwa kuwa ana uzito wake
Sent using Jamii Forums mobile app
duh! kuna watu wana wito kwelikweli na ualimu. PCB point 11 unaomba Education!!!! huo ni wito uliopitiliza. Kwanini usingeomba Bachelor of Laboratory Health Sciences au Nursing. ok. kila kheri katika ualimu wako. BUT kwa ushauri SUA wakifungua ni bora ukasome Bachelor of Laboratory Science au BVMNimechaguliwa BCS. OF EDUCATION SUA NINA TWO YA 11 NIMESOMA PCB YAANI NIMEPATA CHEM C BIOS C NA PHY E NILIKUWA NAULIZA JE NA WEZA BADILISHA COURSE NA NIENDE BVM?? NA KAMA NA WEZA NJIA ZIPI NIZIFANYE ZA HARAKA KWA MUDA HUU MAANA NIMECHAGURIWA PIA DIPLOMA YA CLINICAL MEDICINE ASANTE SANAA
Jomba nimeomba hio awamu zote 2 kilicho nikuta ni mwendo wa chagaa awamu ya mwisho nikaaplly edu nikapewa yaan acha tu na nimesha kaa mtaan mwaka tayarduh! kuna watu wana wito kwelikweli na ualimu. PCB point 11 unaomba Education!!!! huo ni wito uliopitiliza. Kwanini usingeomba Bachelor of Laboratory Health Sciences au Nursing. ok. kila kheri katika ualimu wako. BUT kwa ushauri SUA wakifungua ni bora ukasome Bachelor of Laboratory Science au BVM
BVM nikwambie ukwel utasumbuka kuandika barua utasubir majibu bure ila huwez kwenda na hzo point zako utajikuta umepoteza muda bure nenda kozi hizi
Bsc animal science
Bsc Agriculture general
Bsc Forestry
Bsc Horticulture
Au hyo education uliochaguliwa ipo campus ya mazimu SMC kuondoa gharama ya muda na usafir
Nenda
Bsc Environmental science
Ipo hapo mazimbu ambapo kozi yako ipo
Usiupuuze ushaur wa mlevi we ujiulizi kwa nini sijaitaja Laboratory bitechnology (BLS)
Na hizo walizokutajia tofaut na nilizotaja Mimi?
Nlikuwa hapo kitambo kidogo.. Naelewa
Unampoteza mwenzio. Hizo kozi ulizomwandika akimaliza unakata akafanyaje! acha kumpotosha mwenzako. Hizo point zake zinatosha kabisa kwa BVM. Pia heri mara 100 akasoma BLS kuliko huo utumbo wa kilimo.BVM nikwambie ukwel utasumbuka kuandika barua utasubir majibu bure ila huwez kwenda na hzo point zako utajikuta umepoteza muda bure nenda kozi hizi
Bsc animal science
Bsc Agriculture general
Bsc Forestry
Bsc Horticulture
Au hyo education uliochaguliwa ipo campus ya mazimu SMC kuondoa gharama ya muda na usafir
Nenda
Bsc Environmental science
Ipo hapo mazimbu ambapo kozi yako ipo
Usiupuuze ushaur wa mlevi we ujiulizi kwa nini sijaitaja Laboratory bitechnology (BLS)
Na hizo walizokutajia tofaut na nilizotaja Mimi?
Nlikuwa hapo kitambo kidogo.. Naelewa