Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Nilisikia diploma kwa vyuo vya serikali una weza kuomba kwa njia mbili ambazo ni kwa kupitia NECTA au CHUO HUSIKA sasa mimi nataka niombe chuo cha kibaha direct sasa tatizo linakuja sina link wala form zao kwa hiyo naomba msaada wa link au kama na weza pata namba zao ili nijue naomba vipo maana ukipitia necta nimeambiwa kupata chuo nia asilimia ndogo kuliko ukiomba chuo usika kwa maana ufaulo wangu siyo mkubwa.
Kidato cha nne kwenye PCB nilipata PHY D harafu CHEM B na BIOS B hivyo kuna mtu alinishauli hapa hapa JamiiForums ni apply direct chuo husika tatizo sina link zao wala namba zao mwenye link zao au namba zao naomba mnisaidie wa kubwa zangu
SAMAHANI KWA KISWAHILI KIBOVU