Msaada jinsi ya kuapply Diploma direct katika chuo cha Kibaha

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Nilisikia diploma kwa vyuo vya serikali una weza kuomba kwa njia mbili ambazo ni kwa kupitia NECTA au CHUO HUSIKA sasa mimi nataka niombe chuo cha kibaha direct sasa tatizo linakuja sina link wala form zao kwa hiyo naomba msaada wa link au kama na weza pata namba zao ili nijue naomba vipo maana ukipitia necta nimeambiwa kupata chuo nia asilimia ndogo kuliko ukiomba chuo usika kwa maana ufaulo wangu siyo mkubwa.

Kidato cha nne kwenye PCB nilipata PHY D harafu CHEM B na BIOS B hivyo kuna mtu alinishauli hapa hapa JamiiForums ni apply direct chuo husika tatizo sina link zao wala namba zao mwenye link zao au namba zao naomba mnisaidie wa kubwa zangu
SAMAHANI KWA KISWAHILI KIBOVU
 
Uko wapi?
Nilisikia diploma kwa vyuo vya serikali una weza kuomba kwa njia mbili ambazo ni kwa kupitia NECTA au CHUO HUSIKA sasa mimi nataka niombe chuo cha kibaha direct sasa tatizo linakuja sina link wala form zao kwa hiyo naomba msaada wa link au kama na weza pata namba zao ili nijue naomba vipo maana ukipitia necta nimeambiwa kupata chuo nia asilimia ndogo kuliko ukiomba chuo usika kwa maana ufaulo wangu siyo mkubwa. Kidato cha nne kwenye PCB nilipata PHY D harafu CHEM B na BIOS B hivyo kuna mtu alinishauli hapa hapa jamii forum ni apply direct chuo husika tatizo sina link zao wala namba zao mwenye link zao au namba zao naomba mnisaidie wa kubwa zangu
SAMAHANI KWA KISWAHILI KIBOVU
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom