miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
hairuhusiwi kutoa talaka zaidi ya moja kwa wakati mmoja! na hata akizitoa talaka zaidi ya moja kwa wakati mmoja, bado itasimamam kama talaka moja! mamaafacebook M. Mungu anajua zaidi!
Mh umefurahi na hiyo mada
Mimi fulani bin fulani wallah huyu mwanamke manina zake simtaki.......mwanamke duniani hayupo ahera anatafutwa akauze ufuta mie wa nini.......nshasema simtakiiii.........
Mimi fulani bin fulani wallah huyu mwanamke manina zake simtaki.......mwanamke duniani hayupo ahera anatafutwa akauze ufuta mie wa nini.......nshasema simtakiiii.........
WAKWE
P.O.BOX
Dar-es-salaam
TAnzania
Yah:Talaka
Wakwe husikeni na kichwa cha habari hapo juu...Nimeamua kumuacha huyu shetwan rajim..iblis.. kwa talaka tatu juu ya tabia yake ya kukesha kwenye vigodoro..nimefikia uamuzi huu baada ya kumkanya mara kadhaa na kukaidi kuskia kwahyo uamuzi wangu ndio huo...ikiwezekana wakwe mnirudishie hata nusu ya mahari yangu maana huyu mwanenu sjamkuta bikra yan mmenipiga changa lamacho
simtaki hata kumskia
wenu Msatahiki Bin Meya.
Duh!, akaaaa mimi simo.
Halafu mnasema jukwaa la siasa ndio lina mastress? mimi nasema huku MMU ni stress kwa kwenda mbele. Wacha nirudi zangu siasani, humu sitii langu kwa leo.
kwako uliyekuwa mkwe wetu,
Tunakutaarifu aliyekuwa mkeo amefika salama nyumbani na mola ni mwema ameshapata mume mwingine. kuhusu kukurudishia mahali sahau kwa kuwa na pesa hiyo alinunulia shabu kwa ajili ya kukupa bikra.
baba siwajibu,
slp mapenzi basi,
03.11.2014
mama siwajibu,
mke wangu wa zamani.
yah: taraka.
soma kwa makini heading hapo juu,
kuanzia muda huu upatapo hii barua tambua kwamba mimi si mumeo tena, naomba zingatia masharti ya taraka hii kila siku ya maisha yako.
Masharti.
1. utaondoka kama ulivyokuja, kwa
kuwa ulikuja na issue yako , nenda
nayo siitaki tena milele, hainogi.
2. tukionana njiani kama kuna njia
ya kuchepuka ni vema ukachepuk
haraka ili tusigongane njiani
3. kama upo kwenye daladala
ukiniona naingia wewe shuka
haraka kabla sijakusanua.
4.hakuna kufanya mapenzi
na mwanaume yoyote mpaka
mtoto wetu atimize miaka 18.
5. waambie wazazi wako wakiniona
njiani wakimbie haraka kabla
sijakisanua.
6. mwisho marafuku kutanguzana
au kuongea na mwanaume
yoyote.
nb: mwambie mshenga alete ng'ombe zangu ndani ya siku saba kwani walikuolesha kwangu ili hali wakijua fika wewe ni malaya,mwongo, mwizi, hunogi ,chupi mkononi kama mama yako mzazi hivyo mlinihadaa.
Wazazi: mpokeeni mtoto wenu muishi naye kwani hanogi kabisa kama mna bisha mwambieni amwonjeshe kaka yake athibitishe.
asante,
wenu wa kunoga,
baba siwajibu.
Wanajukwaa vitendo anavyonifanyia mke wangu nimeshachoka.
Ninachohitaji kutoka kwenu ni jinsi ya kuandika talaka tu, sihitaji ushauri wowote nimechoka na wala sitosikiliza ushauri wa yeyote yule.