mamylove jana nimejaribu kuaandaa maandazi ya kula mimi mwenyewe hapa nyumbani, ila nilishindwa.
Andazi jinsi lilivyokuwa hadi nashindwa kueleza, yaani ugali siyo ugali, jojo siyo jojo, balaa tupu.
nilipoteza muda wangu bure!
yalinishinda kwa kweli!
Niliwatupia Nguruwe wayale!