Msaada jinsi ya kuandaa mandazi na kufanya yadumu muda mrefu

mamylove jana nimejaribu kuaandaa maandazi ya kula mimi mwenyewe hapa nyumbani, ila nilishindwa.
Andazi jinsi lilivyokuwa hadi nashindwa kueleza, yaani ugali siyo ugali, jojo siyo jojo, balaa tupu.
nilipoteza muda wangu bure!
yalinishinda kwa kweli!
Niliwatupia Nguruwe wayale!
 
Pole sana au ulichoma na moto ukiwa mkali
mamylove jana nimejaribu kuaandaa maandazi ya kula mimi mwenyewe hapa nyumbani, ila nilishindwa.
Andazi jinsi lilivyokuwa hadi nashindwa kueleza, yaani ugali siyo ugali, jojo siyo jojo, balaa tupu.
nilipoteza muda wangu bure!
yalinishinda kwa kweli!
Niliwatupia Nguruwe wayale!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duu pole hebu tafuta thread humu zipo za kupika maandazi me nimejifunza humuhumu mpaka mkate natoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom