Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 318
Natoa salamu za heshima kwenu nyote wadau wa jukwaa hili pendwa. Mwaka 2016 niliomba ushauri humu na kusadiwa kuhusu kuagiza gari toka Japan na kufanikiwa kwa asilimia mia, nasema asanteni sana kwa mara nyingine....
Natoa salamu za heshima kwenu nyote wadau wa jukwaa hili pendwa. Mwaka 2016 niliomba ushauri humu na kusadiwa kuhusu kuagiza gari toka Japan na kufanikiwa kwa asilimia mia, nasema asanteni sana kwa mara nyingine...
Wazo zuri Asante sana, lakini ngoja kwanza tupate mawazo zaidi ili tujue hata tunachagua gari kwa vigezo gani.Babu kama kweli unataka Truck tuwasiliane PM,
Kumbuka unataka gari ya mwaka gani? hii ni muhimu kwenye ushuru! sababu gari ikiwa nzee zaidi ya miaka nane toka imeuundwa, utalipa ushuru mkubwa! japo kuwa gari itakuwa bei rahisi kununua
Je kiasi gani? hata hii inaumuhimu kwenye ushuru!
Pia uwe na hela ya usafirishaji,mimi nataeenda kukuangaliazia na kuvideo gari live kuwasiliana na wewe,
Na hela hunitumii mimi, Lazima uhakikishe kampuni inayouza ni ya kweli ndio unatuma kwenye akauti yao
Lakini lazima unilipe hela yangu ya kwenda kukuangalizia gari na marupurupu yangu
Usipate tabu Mkuu, KIMOMWE MOTORS ni suluhusho la hitaji lako. Hii ni kampuni ya Kitantania iliyoingia mkataba na kampuni zaidi ya 12 za Japan na Ulaya.Natoa salamu za heshima kwenu nyote wadau wa jukwaa hili pendwa. Mwaka 2016 niliomba ushauri humu na kusadiwa kuhusu kuagiza gari toka Japan na kufanikiwa kwa asilimia mia, nasema asanteni sana kwa mara nyingine...
Asante kwa taarifa, lakini ungeeleza kiundani zaidi ili tujue kama ninyi mnauza magari au ni madalali. Pia ungeweka link za hayo makampuni ili watu watoe ushuhuda kwa faida ya wengi na biashara yako pia. Ni vema ukaenda deep kidogo kwani naamini wapo weni wenye hitaji kama langu.Usipate tabu Mkuu, KIMOMWE MOTORS ni suluhusho la hitaji lako. Hii ni kampuni ya Kitantania iliyoingia mkataba na kampuni zaidi ya 12 za Japan na Ulaya.
Tunabeba dhamana ya pesa yako kuhakikisha gari uliyoikusudia inakufikia ikiwa katika ubora.
Karibu ofisini kwetu Magomeni Mapipa jengo lenye bank ya DTB tupo ghorofa ya kwanza. Au piga 0754 455865
Asante kwa taarifa, lakini ungeeleza kiundani zaidi ili tujue kama ninyi mnauza magari au ni madalali. Pia ungeweka link za hayo makampuni ili watu watoe ushuhuda kwa faida ya wengi na biashara yako pia. Ni vema ukaenda deep kidogo kwani naamini wapo weni wenye hitaji kama langu.
Message BodyAsante kwa taarifa, lakini ungeeleza kiundani zaidi ili tujue kama ninyi mnauza magari au ni madalali. Pia ungeweka link za hayo makampuni ili watu watoe ushuhuda kwa faida ya wengi na biashara yako pia. Ni vema ukaenda deep kidogo kwani naamini wapo weni wenye hitaji kama langu.
Sawa mkuu, tutawasiliana kiofisi.Message Body
Jina la kampuni ni Kimomwe Motors Tanzania Limited. Kampuni hii imesajiliwa kama Mwagizaji wa Magari mapya na yaliyotumika kutoka Japan na Ulaya pia.
Tulichofanya ni kuingia makubaliano ya kuwakilisha baadhi ya makampuni ya kijapan na Ulaya lengo kuu likiwa ni kumrahisihia mtanzania aweze kupata gari kwa gharama nafuu zaidi kutoka na ushindani unaokuwepo kwenye kampuni tunazofanyanazo kazi. Pia mteja anakua na wigo mpana zaidi wa kufanya chaguo la kilicho bora zaidi. Faida nyingine ukiagizia kupitia sisi unanafasi ya kupata punguzo la bei tofauti na ukiagiza mwenyewe ambapo punguzo laweza kua dogo au lisiwepo kabisa.
Ili mteja awe na uhakika na usalama wa pesa yake, kuna mikataba ambayo tunasainishana chini ya mwanasheria au mahakama kwamba sisi Kimomwe Motors tunabeba dhamana ya mteja mpaka tutakapomkabidhi gari yake ikiwa kwenye ubora uliokusudiwa.
Baadhi ya kampuni tunazoshirikiana nazo ni kama Beforward Japan, SBT Japan, Tradecarview, Cardealpage, Sakura Motors, Real Motors Japan, Enhance Auto, Autorec, Car Junction, na Law Exports UK.
Hapa chini naambatanisha na baadhi ya nyaraka zetu za kisheria zinazoturuhusu kufanya kazi hizi pamoja na moja ya Tuzo ambazo Mkurugenzi wetu amekua akipata kutoka Beforward kabla hajaamua rasmi kusajili kampuni hii Kama Kimomwe Motors Tanzania Limited.
Makao makuu ya ofisi zetu yapo Dar es Salaam maeneo ya Magomeni Mapipa mkabala na kituo cha Mwendo kasi, ilipo bank ya DTB, sisi tuko ghorofa ya kwanza. Ofisi ndogo zipo Kurasini mkabala na Chuo cha Uhasibu, jengo la Masangula ofisi namba 3.
Kwa mawasiliano zaidi, piga sim namba 0754 455865
Kimomwe Motors- Save Money, Save TimeView attachment 908014
View attachment 908000View attachment 908003View attachment 908011
Naomba kupata namba yako ya sim ili tuweze kuwasiliana nawe kwa karibu zaidi na kufanyia kazi order yakoSawa mkuu, tutawasiliana kiofisi.