Habari zenu wajumbe.
Nimeweka window 8 kwenye PC yangu but kila wakati inaniletea notification ikinitaka ni update " go to setting and update window" nishafanya hivyo mara nyingi lakini tatizo bado linajirudia.
Naomba kwa Mwenye uelewa jinsi ya kutatua tatzo hili anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.