nzaghamba
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,077
- 1,139
husika na title hapo juu,tafadhali kama kuna anaejua jinsi ya kusasisha(ku update) hizi receiver za Free To Air naomba atujuze...mimi nimeishia kuelewa hapo wanapotoa update mpya kwenye mtandao file za kupakua update zinakuwepo sasa shida inakuja jinsi gani naweza kuipakua je ninaunganisha receiver na PC ili update iweze kuingia au natumia flash maana receiver ninayotumia ina sehemu ya kupachika flash je ndio mojawapo ya matumizi yake na je sehemu hiyo nawezaje kuitumia pia kwa moderm...msaada wajuzi mwenye anafahamu atusaidie kwa hilo
Thnx
Thnx