Msaada: jinsi ya ku unlock hii modem ya airtel

Msaada: jinsi ya ku unlock hii modem ya airtel

Natumia modem ya zte airtel imei 865720012745524
nahitaji ku-unlock itumie line zote, nimepata code za kufungulia yenye 12 digits yenyewe inadai 16 digits
naomba msaada wako tafadhari
wako
Mkuu hiyo haiwi unlocked ki urahisi inatumia custumized firmware so lock yake haitoki kwa unlock codes
And it took a decade for the discovery of unlocking it with some risks for unexperienced crackers

Kama upo interested ni PM maelezo yamo humu humu JF unaweza ku search
 
Back
Top Bottom