- Thread starter
- #21
usha unlock au?
Tayari, inapiga kazi
usha unlock au?
umetumia calculator ipi?
sababu hii si huawei wala zte
Angalia hapo juu
hiyo ndio dashboad yako au ni ya yule wa alcatel
umeomba msaada nimekupa mbona una mashaka hiyo ni all modem unlocker niliyo tumia hivyo kuna kila jina la modem mpaka nyingine sijawai kuzisikia
mbona sio mm aliyeomba ku unlock modem bali ni Kal4kaizy mm nauliza for knowledge
mkuu basi fanya kunipa jina ili ni download hiyo kitu....au kama hauta mind attach hapa jf au hapa rachyvici@yahoo.com
Zte mkuu.sasa iyo imei niya airtel gani kumbukei kuweka aina kama ni zte au huawei au aina zingine maana nashindwa kuleta jibu sahihi
Mkuu n zte MF190 imei yake n 865720019030631 msaada tafadhal.sasa iyo imei niya airtel gani kumbukei kuweka aina kama ni zte au huawei au aina zingine maana nashindwa kuleta jibu sahihi
Mkuu n zte MF190 imei yake n 865720019030631 msaada tafadhal.
Mkuu n zte MF190 imei yake n 865720019030631 msaada tafadhal.
Duh! kazi ipo.
dah mkuu ungetupia link ya kudowload ingekuwa poa zaid.
asa wajamaa, mfano moderm ya airtel then umesha unlock ukaweka line ya voda, je hapo vip kuhusu software?
utaendelea kutumia ileile software ya airtel na connection name ileile ya airtel au ukipenda unaweza badilisha
Du! nimwakubali, jf siondoki maana napata vitu ambavyo sikuwafikiri kama nitavipata. BIGUP