Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 944
- 405
Wakuu naombeni msaada maana Google nimesearch leo wiki ya pili bila jibu yani sijapata jibu wala app ilofanya kazi pleaze najua wenye shida hii tupo wengi ivo tunaitaji msaada wa mnaofahamu, simu yango ni Vodafone smart bomba, model ni VFD 301, android version ni 6.0 marshmallow.
Pls: najua kuna watu hawawezi pita bila kupondea Uzi flani, naomba muheshimu mawazo ya mtu.
Pls: najua kuna watu hawawezi pita bila kupondea Uzi flani, naomba muheshimu mawazo ya mtu.