hahahahahaaRudisha simu ulikoitoa huwez sahau password had email yako!km hukumbuki lete elfu 10 tukutolee
1) Ukishatoka kwenye factory Reset, Unawasha simu upya,Kuna mdau aliletaga maujanja hapa JF, nikakopi maelezo yake, nilisave kwenye simu nyingine. Nisubiri nusu saa nikifika home
Kabla sijaleta, ungesema ulitumia njia ipi uliyoshindwa ili tuokoe muda.
kwani bado hujafanikiwa?1) Ukishatoka kwenye factory Reset, Unawasha simu upya,
2) Unatafuta wireless (wiFi) ya karibu unajiunga nayo,
3) Itakupeleka kwenye kuweka gmail,
4) Pale kwenye kuweka email unafungua Keyboard kisha unaenda kwenye setting,
5) Hapo kuna njia mbili ya kwenda kwenye Language au TouchPal,
6) Shida ni kua kwa youtube nilizoziona hizi njia mbili zinakufikisha kwenye setting ya kawaida, but kwangu haifiki huko
Sawa. Naona karibu inafanaba na aliyoleta mdau mmoja hapa JF siku za nyuma. Jaribu huenda itakusaidia. Yeye alisema;1) Ukishatoka kwenye factory Reset, Unawasha simu upya,
2) Unatafuta wireless (wiFi) ya karibu unajiunga nayo,
3) Itakupeleka kwenye kuweka gmail,
4) Pale kwenye kuweka email unafungua Keyboard kisha unaenda kwenye setting,
5) Hapo kuna njia mbili ya kwenda kwenye Language au TouchPal,
6) Shida ni kua kwa youtube nilizoziona hizi njia mbili zinakufikisha kwenye setting ya kawaida, but kwangu haifiki huko
nimekutumia link ya thread juu umepuuza sijui hujaona ,,angalia vyema ni rahisi tu iyo simuSijafanikiwa bado Boss
Sorry Mr Easy,Sawa. Naona karibu inafanaba na aliyoleta mdau mmoja hapa JF siku za nyuma. Jaribu huenda itakusaidia. Yeye alisema;
Kikubwa Fanya Hivi!
Tafuta wifi....kwenye Kuingiza Password keybord itapop up...ikisha pop up tafuta option ya kwenda settings za simu!
Option ya settings ikishajitokeza nenda kwenye wifi then connect!
Ukishaconnect nenda kwenye apps afu uende kwenye youtube!
Ukishafika kwenye youtube nenda kwenye Data usage halfu click
Hapo itakuletea option ya kuingia mtandaon chagua chrome!
Ukishachagua chrome usi log in kwenye chrome just click No, Thanks
Then search Apk inaitwa The Test DPC 3.0.6...then download
Ikishamaliza kudownload pop up itakuja kwamba download done!....click then install the app
Aftel installation pop up itakuja kwamba open!
Open halafu nenda kwenye option ya ku encrypt hapo uwe ushaclick option ya ku wa new user
Hakikisha simu yako ina zaidi ya 80% chaji....after encryption utakuwa usha bypass google verification!
Nakumbuka yeye alisemaga hii njia inatumika kwa android ambazo zinadai gmail ya kwanza mara baada ya restoration. Sasa mimi nikakopi tu maelezo yake ili yanisaidie siku za baadaeSorry Mr Easy,
Hii solution ilikua specifically kwa Tecno N2??
Nimeiona Boss wangu,nimekutumia link ya thread juu umepuuza sijui hujaona ,,angalia vyema ni rahisi tu iyo simu